Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini wataka serikali kukomesha mihadarati Garissa

  • | Citizen TV
    292 views
    Duration: 1:00
    Baraza kuu la waislamu nchini tawi la Garissa linataka serikali kuongeza jitihada zake dhidi ya matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana katika kaunti hiyo. Kupitia kwa mwenyekiti wake Sheikh Hassan Abdi, baraza hilo linasema upatikanaji kwa urahisi wa dawa za kulevya umechangia pakubwa kudorora kwa hali ya usalama.