Viongozi wa dini wazungumzia mikakati ya Amani Kajiado

  • | Citizen TV
    60 views

    Maafisa wa usalama wa vitengo mbalimbali wamefanya mkutano na viongozi wa dini kwa lengo la kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa amani imedumishwa eneo la Kajiado