26 Sep 2025 10:11 am | Citizen TV 254 views Duration: 1:48 Viongozi kutoka kaunti ya Garissa wametaka wizara ya usalama kuongeza polisi kwenye kaunti hiyo ili kuimarisha usalama.