Viongozi wa jamii za wafugaji katika kaunti ya Pokot Magharibi wataka mipaka ibainishwe

  • | Citizen TV
    245 views

    Viongozi WA kaunti ya Pokot Magharibi wanasema huenda tatizo la utovu wa usalama linaweza kudhibitiwa iwapo serikali itaongeza maafisa nyanjani na kubaini mipaka ya kaunti za wafugaji.