- 3,506 viewsDuration: 2:06Viongozi wa chama cha Jubilee wamemsuta Rais William Ruto kwa matamshi yake makali dhidi ya wapinzani wake. Wakizungumza kule Nyansiongo walipokutana na wanachama wao, viongozi hao akiwemo katibu mkuu wa chama hicho Moitalel Ole Kenta wamesema matamshi hayo hayaambatani na haiba ya ofisi ya Rais, huku wakimshauri Rais Ruto kuwa mtulivu na mfano bora kwa Wakenya