Viongozi wa kanisa watoa wito kwa polisi kuharakisha uchunguzi wa kifo cha Padre John Maina

  • | NTV Video
    585 views

    Viongozi wa kanisa wametoa wito kwa polisi kuharakisha uchunguzi wa kifo cha Padre John Maina wa kanisa la St. Louis Igwamiti aliyefariki katika mazingiria tatanishi wiki iliopita. Viongozi hawakuruhusiwa kuzungumza katika kwenye mazishi hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya