Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Keiyo wafanya maombi maalum kumuenzi Raila

  • | Citizen TV
    2,893 views
    Duration: 3:34
    Siku chache baada ya kuzikwa kwa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, wakenya bado wanaendelea kumwomboleza, huku Wazee kutoka Keiyo wakifanya tambiko na maombi spesheli kuiombea familia ya Hayati Raila Odinga. Wazee hao wamesema kuwa bado wako katika hali ya mshtuko kwa kumpoteza kinara na kiongozi wao Raila Odinga.