Viongozi wa Kenya Kwanza na upinzani walaumiana kwa maandamano

  • | KBC Video
    47 views

    Wanasiasa wanaoegemea upande wa serikali wameendelea kuushutumu upinzani, kwa kile walichodai kwamba kufadhili uhalifu ulioshuhudiwa wakati wa maandamano ya Jumatano. Wakizungumza eneo la Malava kaunti ya kakamega, Viongozi hao wakiongozwa na msaidizi wa rais Farouk Kibet, walidai uwepo wa njama ya kuipindua serikali ya Kenya Kwanza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive