- 871 viewsDuration: 2:45Viongozi wa kenya kwanza wameitetea tume ya uchaguzi na mipaka iebc wakiwataka viongozi wa upinzani kukoma kutishia makamishna wa IEBC na kujishughulisha na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wakizungumza katika hafla tofauti, viongozi hao pia waliwashambulia wenzao wa upinzani kwa kukosa ajenda itakayowafaidi wakenya