- 23,838 viewsDuration: 3:35Viongozi wa Kenya Kwanza wanataka Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kuandikisha taarifa na DCI kuhusu matamshi yake kuwa mkuu wa majeshi marehemu Francis Ogolla aliuawa. Viongozi hao wanasema ni sharti Kalonzo achunguzwe ili athibitishe matamshi yake na iwapo yamechochewa kisiasa. Hayo yanajiri huku waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen akiongoza viongozi wengine wa Kenya Kwanza kumpigia debe Rais William Ruto