Viongozi wanaogemea mrengo wa Kenya Kwanza wameendelea kutetea mikutano ya ikulu ya Rais William Ruto na makundi mbalimbali. Wakizungumza katika Kaunti ya Pokot Magharibi wakati wa hafla ya uwezeshaji, viongozi hao wakiongozwa na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula, walisema Ikulu ni ya Wakenya wote. Walikashifu wale wanaokosoa programu za uwezeshaji wa serikali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive