Viongozi wa Kenya Kwanza watetea mradi wa nyumba pamoja na ule wa bima ya matibabu yaungwa

  • | Citizen TV
    818 views

    Viongozi wa kenya kwanza wametetea nyumba za nafuu na mpango wa afya kwa wote inayoendelezwa na serikali. Viongozi hawa wakisema, miradi hii itawafaidi wakenya wakitaka serikali kuungwa mkono kwenye mipango hii. Viongozi walizungumza wakati wa michuano ya fainali ya kandanda katika kaunti ya Busia.