Viongozi wa Kenya Kwanza watoa michango maeneo mbalimbali

  • | Citizen TV
    4,804 views

    Vikundi takriban 30 vimenufaika na mpango wa uwezeshaji kiuchumi mashinani katika eneo bunge la Kapsaret, kaunti ya Uasin Gishu. Bidhaa zenye thamani ya shilingi milioni 45 zilitolewa huku mchango wa zaidi ya shilingi milioni 100 ukikusanywa iIumaa hii kufadhili miradi ya maendeleo ya eneo hilo. Naibu Rais Kithure Kindiki naye ameongoza mpango sawa na huo huko Machakos.