Viongozi wa Kenya Kwanza watofautiana kuhusu ugavi wa mapato

  • | Citizen TV
    1,311 views

    Tofauti Za Viongozi Wa Mrengo Wa Kenya Kwanza Kuhusu Ugavi Wa Mapato Ya Nchi Zimeendelea Kuibuka Huku Upande Mmoja Ukishinikiza Kuzingatiwa Kwa Idadi Ya Watu Na Upande Wa Pili Ukitaka Upana Wa Maeneo Pia Kuangaziwa. Kiongozi Wa Walio Wengi Katika Bunge La Kitaifa Kimani Ichung'wa Anasisitiza Kuwa Mabadiliko Kuhusu Ugavi Wa Rasilmali Unaweza Tu Kufanyika Kupitia Seneti Na Wala Sio Kwenye Mikutano Ya Hadhara.