Viongozi wa Kenya na Ethiopia wafanya mkutano kakuma

  • | Citizen TV
    49 views

    Viongozi wa ngazi za juu kutoka Kenya na Ethiopia wamekongamana Kakuma Turkana magharibi,kujadili swala Tata la kudorora kwa Amani katika mpaka wa Kenya na Ethiopia katika mpaka wa Todonyang'