16 Sep 2025 10:22 am | Citizen TV 225 views Duration: 1:24 Viongozi wa kidini katika kaunti ya Garissa wamehimizwa kutumia nafasi yao kutetea na kufichua maovu yanayofanyika katika jamii ili kudumisha heshima na haki kwa wanyonge.