Viongozi wa kidini Kisii watoa rambirambi zao kwa familia za waliofariki katika ajali hiyo ya ndege

  • | Citizen TV
    896 views

    Viongozi wa kidini wanazidi kumwomboleza marehemu Jenerali Francis Ogolla na maafisa wengine tisa kijeshi waliofariki jana kwenye ajali hiyo ya ndege.