Viongozi wa kidini Kitale wataka kushirikishwa kutatua mzozo wa serikali ya kaunti ya Trans Nzoia

  • | West TV
    222 views
    Viongozi wa kidini kaunti ya Trans nzoia wanataka wakilishi wadi wa bunge la kaunti hiyo kushirikiana na gavana kuwahudumia wakazi na kuacha migogoro na malumbano ambayo inahujumu maendeleo.