Viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Kilifi wapendekeza mikakati ya kudhibiti shughuli za makanisa

  • | Citizen TV
    266 views

    Viongozi wa kidini kaunti ya Kilifi wamependekeza kuanzishwa kwa mikakati bora ya kudhibiti shughuli za makanisa na maeneo ya kuabudu huku jopokazi lililoundwa na rais William Ruto la kuchunguza kilichojiri shakahola likizuru kaunti ya kilifi.