Viongozi wa kidini Pwani wataka serikali kukomesha wahalifu

  • | Citizen TV
    316 views

    Viongozi wa dini ya kislamu kutoka pwani wametaka serikali kukabiliana na wahalifu wanaowakosesha wenyeji amani. Wakiongea huko mombasa viongozi hao wamesema kuwa wako tayari kushirikiana na serikali kuhakikisha magenge ya uhalifu yamekabiliwa ipasavyo.