Viongozi wa kidini washinikiza mazungumzo kuhusu mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    192 views

    Viongozi wa kikristu wamewahimiza maafisa wakuu wa serikali na viongozi wa madaktari kufanya mazungumzo ili kumaliza mgomo wa madaktari ambao umesababisha mahangaiko makuu kwa wagonjwa. Wakristo kote nchini walimiminika Kanisani kusherehekea siku kuu ya ijumaa kuu kwa ukumbusho wa kifo cha Yesu Kristo.