16 Sep 2025 1:30 pm | Citizen TV 389 views Duration: 1:53 Baraza la kidini la kenya limetoa wito kwa bunge la kitaifa kuharakisha kufuta sheria ya kujiua, likisema hatua hii itasaidia kupunguza matatizo ya afya ya akili.