Viongozi wa kidini wataka Gachagua kuomba msamaha

  • | Citizen TV
    17,122 views

    Makasisi na wahubiri mbalimbali sasa wamejitokeza na kumtaka naibu rais Rigathi Gachagua kumuomba msamaha Rais William Ruto ili kuepuka kubanduliwa ofisini. Kauli za viongozi hawa zinajiri huku wakaazi wa Nyeri wakikosoa hoja ya kumbandua gachagua ofisini wakisema walimchagua pamoja na Rais Ruto