25 Nov 2025 10:48 am | Citizen TV 245 views Duration: 1:26 Viongozi wa kidini na maafisa wa polisi wamewataka wanasiasa na wananchi kutoka eneo la Kabuchai kudumisha amani wakati wa uchaguzi mdogo siku ya Alhamisi.