Viongozi wa Kiislamu wahimiza mashauriano

  • | KBC Video
    5 views

    Viongozi wa dini ya Kiislamu katika Kaunti ya Isiolo wamejitolea kusuluhisha tofauti zilizopo kati ya Gavana Abdi Ibrahim Guyo na wawakilishi wadi wa bunge la Kaunti hiyo wakisisitiza kuwa pande hizo mbili zinapaswa kushauriana na kuweka mbele utoaji wa huduma kwa wakazi wa Isiolo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive