Viongozi wa kike washauri kina mama kujali binti zao

  • | Citizen TV
    58 views

    Huku masomo yakirejea kwa muhula wa tatu shuleni, wabunge wa Kaunti kutoka maeneo tofauti nchini wamesisitiza haja kwa kina mama kusalia mstari wa mbele katika vita dhidi ya tohara, mimba na ndoa za mapema.