Viongozi wa Lugari na Likuyani washinikiza wakazi kuhusu unyakuzi wa ardhi ya msitu wa Turbo

  • | West TV
    70 views
    Viongozi na wakazi maeneo bunge ya lugari na likuyani wameshikilia msimamo wao kupinga njama ya baadhi ya maafisa wa serikali kutaka kuunyakua msitu wa turbo unaopatikana katika maeneo bunge hayo mawili