Viongozi wa magharibi mwa Kenya wapinga kukodeshwa kwa kiwanda cha sukari cha nzoia

  • | NTV Video
    703 views

    Makabiliano makali yameshuhudiwa baina ya maafisa wa polisi na waandamanaji katika soko la Bukembe, baada ya kinara wa DAP-K, Eugene Wamalwa, na Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, kuandaa maandamano ya kupinga kukodeshwa kwa kiwanda cha sukari cha nzoia

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya