Viongozi wa makanisa mjini Malindi watoa hamasa kwa wakaazi kuhusu biashara ya ulanguzi wa binadamu

  • | Citizen TV
    284 views

    Viongozi wa makanisa mjini Malindi kaunti ya Kilifi wametoa hamasa kwa wakaazi kuhusu biashara ya ulanguzi wa binadamu maeneo ya pwani ili kukomesha biashara hiyo.