Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa makanisa Teso walalamikia kupuuzwa na serikali ya Ruto

  • | NTV Video
    210 views
    Duration: 3:05
    Viongozi wa makanisa ya Kipentekoste kutoka eneo la Teso kaunti ya Busia wamelalamikia kupuuzwa na serikali ya Rais William Ruto kwa kutowashirikisha katika masuala ya maendeleo ya kitaifa na misaada ya serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya