Viongozi wa makanisa watoa wito wa uwiano kwa wanasiasa nchini

  • | Citizen TV
    3,826 views

    Viongozi wa kidini sasa wanawataka viongozi wa kisiasa kutoka serikali na upinzani kukaa chini kwa mazungumzo kutafuta mwafaka. Viongozi hawa kutoka sehemu mbalimbali wameshikilia kuwa wako tayari kuongoza mazungumzo ya kutafuta amani huku wakitaka upinzani kusitisha maandamano yake.