Viongozi wa Mlima Kenya walaani maandamano

  • | Citizen TV
    1,252 views

    Wabunge kutoka eneo la Mlima Kenya wanaounga serikali wamekashifu machafuko na uharibifu wa mali yaliyoshuhduiwa eneo hilo katika maandamano ya saba saba wakidai kwamba machafuko hayo yalichochewa na cheche za siasa potovu kutoka kwa baadhi ya viongozi. Wabunge hao wamewarai wakaazi wa Mlima Kenya kupuuza siasa za ukabila na kususia maandamano ya kuleta uharibifu wa mali.