Viongozi wa muungano wa Azimio wasema hawatahudhuria maombi ya kitaifa ta staftahi mwaka huu

  • | K24 Video
    103 views

    Viongozi wa muungano wa Azimio wamesema hawatahudhuria maombi ya kitaifa ta staftahi mwaka huu ambayo yamekuwa yakiandaliwa na bunge la kitaifa kwa madai kuwa hafla hiyo itatumika kumvunjia mungu heshima na kuonyesha kiburi. Maombi hayo kwa kawaida huwaleta viongozi wote nchini pamoja akiwemo rais kuliombea taifa. hata hivyo hisia mseto zimeibuka kutoka kwa wakenya kuhusu umuhimu wa maombi hayo