26 Nov 2025 10:20 am | Citizen TV 216 views Duration: 1:57 Viongozi wa Baraza la Makanisa nchini (NCCK) kutoka Mashariki mwa nchi sasa wanawataka vijana wasikubali kutumiwa na wanasiasa kuchochea ghasia kwa maslahi ya wanasiasa.