Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM kaunti ya Mombasa washinikiza mazungumzo kati yao na UDA

  • | Citizen TV
    3,220 views
    Duration: 3:45
    Viongozi wa ODM kaunti ya Mombasa sasa wanasema kuwa watashinikiza mazungumzo kati yao na UDA yajumuishe chama hicho kupewa nafasi ya unaibu rais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza mombasa wakati wa eid baraza, viongozi hao wamempigia debe waziri wa madini Joho kupewa nafasi hiyo. Haya yamejiri huku kinara wa ODM Oburu Oginga akitawazwa kama kiongozi wa jamii ya dholuo huko siaya siku chache kabla ya kongamano kuu la wajumbe wa chama hicho.