Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM na UDA chini ya muungano wa serikali wakutana kujadili mikakati ya Uchaguzi Mkuu

  • | Citizen TV
    6,003 views
    Duration: 1:50
    Viongozi wa vyama vya ODM na UDA chini ya muungano wa serkali jumuishi wamekutana na wafuasi wa vyama hivyo jijini nairobi kufanya maamuzi kuhusu ikiwa chama cha odm kiendelee na mchakato wa kuungana na kile cha UDA. Wakimua kwa kauli moja majafiliano hayo kuendelea na kusiaotoza chama cha ODM kitasalia kufanya kazi na uda na mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya muungano huo atakuwa rais william Ruto