- 1,020 viewsDuration: 2:04Viongozi wa Odm wameendelea na ziara yao ukanda wa Pwani leo hii wakiwa kusini mwa Pwani kunadi chama hicho. Viongozi hao, wamedokeza nia yao ya kuingia katika muungano na chama cha UDA , wakidai wamechoka kuwa katika upinzani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya