Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM wasema watasalia serikalini hadi 2027

  • | Citizen TV
    1,607 views
    Duration: 1:48
    Chama cha ODM sasa kinasisitiza kuwahawatasalia tena katika upinzani na hivyo kinaweka mikakati ya kuhakikisha kimesalia uongozini kama chama ama muungano wa vyama. Wakizungumza katika uga wa Gusii kwenye hafla ya kusherehekea miaka 20 ya Chama hicho, viongozi wa Chungwa wakiongozwa na manaibu wa Kinara wa chama hicho, wameapa kushirikiana hadi mwaka wa 2027 na serikali ya rais william ruto ili kufanikisha uwiano na maendeleo zaidi nchini.