Viongozi wa ODM wataka polisi kuacha kumdhalilisha gavana wa Kisii Simba Arati

  • | Citizen TV
    1,413 views

    Viongozi wa ODM kaunti ya Kisii wamekashifu vikali hali ya kumdhalilisha gavana wa kaunti ya Kisii na maafisa wa polisi kwa siku za hivi karibuni. Hii ni baada ya maafisa wa DCI kuonekana nyumbani kwake jijini Nairobi kwa madai ya kumiliki silaha kinyume na sheria jambo ambalo viongozi hao wanasema ni njama ya kisiasa kumzuia kutekeleza wajibu wake kama kiongozi.