- 4,179 viewsDuration: 3:02Viongozi wa ODM wameendeleza wito wa kukomeshwa kwa migogoro ndani ya chama hicho ili kuhakikisha uthabiti wake unasalia. Katika siku ya pili ya mkutano wa viongozi wake huko Mombasa, wanasiasa hawa wameshikilia kuwa ODM kitajiimarisha zaidi kabla ya uchaguzi mkuu mwaka ujao.