Viongozi wa Pokot Magharibi wamnyoshea kidole waziri Kindiki kwa ahadi hewa

  • | West TV
    60 views
    Viongozi wa kaunti ya pokot magharibi wameishtumu wizara ya usalama wa ndani kwa kufeli kutimiza ahadi yake ya kuwaajiri polisi wa akiba kaunti hiyo kusaidia kudhibiti visa vya wizi wa mifugo na mauaji ya kiholela