6 Feb 2026 10:23 am | Citizen TV 165 views Duration: 1:35 Viongozi kutoka serikalini, sekta ya viwanda na taasisi za mafunzo walikutana mjini Kisumu kutathmini hatua zilizopigwa katika utekelezaji wa mfumo wa Dual TVET, unaochanganya mafunzo darasani na uzoefu wa kazi.