20 Jul 2026 10:28 am | Citizen TV 667 views Duration: 1:28 Viongozi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wamekemea ongezeko la magenge ya wahuni wa kisiasa katika eneo hilo, wakiwataka wanasiasa kuacha kuwatumia vijana kwa maslahi yao ya kisiasa .