Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Tranzs Nzoia wakubaliana kushirikiana na serikali ya kaunti

  • | Citizen TV
    385 views
    Duration: 1:18
    Baadhi ya Viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza wakiongozwa na Mbunge wa Endebess, Dkt. Robert Pukose, wamedokeza kuwa wako tayari kuweka kando tofauti zao za kisiasa na kushirikiana na Gavana wa kaunti hiyo, George Natembeya, ili kuhakikisha utekelezaji wa miradi mikuu ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi.