Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa UDA wataka IEBC iongeze muda wa kusajili wapigakura

  • | Citizen TV
    457 views
    Duration: 1:50
    Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya shughuli ya usajili wa wapiga kura wapya kukamilika, imebainika kuwa vijana wengi katika kaunti ya Busia hawajajisajili. Wanachana wa UDA katika kaunti ya Busia wameitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kuzingatia kuongeza muda wa shuguli hiyo ili kuwafikia vijana zaidi ambao bado hawajajisajili.