Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani waikosoa serikali kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta

  • | Citizen TV
    823 views
    Duration: 2:44
    Viongozi wa upinzani wameendelea kuikosoa serikali kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Akiongozwa na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, wanasiasa hawa waliokuwa Kaunti ya Kiambu hii leo wamedai kuna njama fiche kutoka kwa serikali kuwanufaisha watu fulani kupitia sekta ya mafuta. Aidha, Kinara wa DCP Rigathi Gachagua, ambaye yuko katika ziara nchini Uingereza, ameendelea kuzungumzia siasa za mafuta katika ziara yake. Willy Lusige na mengi zaidi.