Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wasema watazidi kuendelea kuikosoa serikali

  • | Citizen TV
    1,777 views
    Duration: 2:38
    Viongozi wa upinzani wamekariri kuwa wataendelea kuikosoa serikali dhidi ya kile wanasema ni uongozi mbaya na ufisadi wakisema umekithiri serikalini. Wakizungumza katika ziara yao kaunti ya Murang'a, viongozi hao wameitaka serikali kuelezea aliko aliyekuwa waziri Raphael Tuju wakikemea kutoweka kwake,