Viongozi wa vijana wa ODM, Nairobi wamewalaumu wawakilishi wadi kwa kuwapuuza wananchi

  • | KBC Video
    5 views

    Viongozi wa vijana wa chama cha ODM katika kaunti ya Nairobi wamewalaumu wawakilishi wadi, kwa kile walichokitaja kuwa kutelekeza majukumu yao na kuwapuuza wananchi. Kwingineko, mwakilishi wanawake kaunti ya Marsabit Naomi Waqo ametoa wito kwa serikali kulegeza msimamo wake kuhusu mpango wa lishe bora shuleni akisema mpango huo huchangia wanafunzi kusalia shuleni. Taarifa kamili ni katika mkusanyiko wa taarifa za magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News