Viongozi wa waislamu watakai majajai watatu wa korti ya juu wajiuzulu

  • | K24 Video
    134 views

    Siku kumi baada ya mahakama ya juu kutoa uamuzi unaoruhusu makundi ya mashoga na wasagaji kusajiliwa kama mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, viongozi wa waislamu wameendelea kuukashifu uamuzi huo, na sasa wanawataka majaji watatu walioamua kesi hiyo wajiuzulu. Viongozi hao wanadai kuwa majaji hao naibu jaji mkuu Philomena Mwilu, Njoki Ndungú na Smokin Wanjala walikiuka katiba katika uamuzi wao