Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa wakongwe Mrima wa Ndege kaunti ya Kilifi wataka ulinzi

  • | Citizen TV
    244 views
    Duration: 1:56
    Baadhi ya viongozi wa kijamii katika eneo la Mrima wa Ndege eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali kujenga ua katika hifadhi ya wazee waliotorokea katika msitu wa Godoma kwa tuhuma za uchawi.